Biashara I Uadilifu katika matumizi ya Akili Mnemba wahimizwa

  • | KBC Video
    9 views

    Wenye biashara wametakiwa kudumisha uadilifu katika matumizi ya Akili Mnemba ili kukabili tisho linaloongezeka la uwepo wa habari potovu. Wanenaji kwenye tamasha la mwaka huu la vyombo vya habari barani Afrika wamesema kuwa programu za Akili Mnemba zinazidi kuwa changamano na kutumiwa visivyo kunaweza kusababisha kuenea kwa habari za uongo, kushawishi maoni ya umma na kudunisha imani ya umma kwa mitandao. Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive