Wakulima watibua uchaguzi wa kamati ya kituo cha chai cha Ramba

  • | Citizen TV
    90 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa katika kituo cha kupima chai cha Ramba kule Mugirango Magharibi, baada ya uchaguzi wa kamati ya kituo hicho kutibuliwa na wakulima.