Wahudumu wa afya wazidisha mgomo wao Kisii

  • | Citizen TV
    377 views

    Wahudumu wa afya chini ya mpango wa Afya Bora Kwa Wote (UHC) wameandaa mgomo katika mji wa Kisii kushinikiza serikali kuu kuwapa kandarasi za kudumu.Wahudumu hao kutoka kaunti za Kisii, Nyamira, Bomet na Kericho wanalalamikia ugumu wa maisha.