Tuzo za Trace: 'Hili ni tamasha kubwa la muziki kufanyika Tanzania'

  • | BBC Swahili
    385 views
    Washindi wa Tuzo za Trace wametangazwa Zanzibar Februari 26. Hafla hiyo iliwaleta pamoja nyota wakubwa katika tasnia ya muziki kusherehekea mafanikio yao ikiwemo watayarishaji na wasanii wa Afrika. Tukio la mwaka huu liliangazia ukuaji wa ushawishi wa Afrika kimataifa, huku Afrobeats, amapiano, na aina mbalimbali za muziki wa Kiafrika zikichukua nafasi kubwa. #bbcswahili #traceawards #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw