Wadau Nyandarua wapokea mafunzo maalum ya afya ya akili

  • | KBC Video
    6 views

    Wadau katika sekta ya usalama pamoja na viongozi wa kidini kutoka eneo la Olkalou kaunti ya Nyandarua wamepokea mafunzo maalum kuhusu jinsi ya kushughulikia visa vya msongo wa mawazo katika jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive