Familia Ya Faustine Inatafuta Milioni 12.5 Kwa Matibabu Yake; SHA Kutoa Ksh 500,000 Pekee

  • | TV 47
    68 views

    Familia Ya Faustine Inatafuta Milioni 12.5 Kwa Matibabu Yake; SHA Kutoa Ksh 500,000 Pekee

    Upungufu wa ufadhili kwa wanaosaka tiba nje ya nchi chini ya mpango wa afya SHA umezidi kuibua maswali. Familia ya Faustine Muriithi Wakini mwenye umri wa miaka 3 inahitaji shilingi milioni 12.5 kwa binti yao anayefaa kupandikiza uboho, ama bone marrow nchini india.

    SHA imesema kuwa itafadhili gharama ya matibabu ya wakini kwa shilingi laki tano pekee

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __