SHA Shingapi? Wagonjwa Wa Figo Kericho Walazimika Kulipa Na Pesa Taslimu

  • | TV 47
    60 views

    SHA Shingapi? Wagonjwa Wa Figo Kericho Walazimika Kulipa Na Pesa Taslimu

    Leo ikiwa siku ya nne ya mahangaiko kwa wagonjwa wanaosaka huduma kwa hospitali za kibinafsi na zile za kidini kote nchini, baadhi ya wagonjwa wa figo wamelazimika kulipa kwa kutumia pesa taslimu huku.

    RUPHA ikisisitiza kuwa bado huduma chini ya mpango wa sha zimesitishwa. Mwanahabari wetu elizabeth atieno ana uketo wa taarifa kwa kina.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __