Milipuko na milio ya risasi yasikika Bukavu mashariki mwa DRC

  • | BBC Swahili
    522 views
    Milipuko na milio ya risasi imeripotiwa mjini wa Bukavu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Alhamisi, wakati wa mkutano wa kundi la M23, uliohudhuriwa na kiongozi wa kundi hilo - Kwa hayo na mengine mengi ungana na @roncliffeodit katika Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. - - #bbcswahili #drc #m23 #ghasia #dirayaduniatv