Mchakato wa hazina ya hasla

  • | K24 Video
    33 views

    Mkaguzi mkuu wa mahesabu serikalini Nancy Gathungu amebainisha kuwa zaidi ya shilingi milioni thelathini zimekopeshwa watoto walio na umri chini ya miaka kumi na minane huku wengine wakiwa bado hawajazaliwa. yaani hawajazaliwa lakini vyeti vyao tayari vipo na vimetumika katika utoaji wa mikopo.