Wenye maduka ya dawa mjini Garissa waonywa kukoma kuwauzia wakazi baadhi ya dawa zinazohitaji barua

  • | Citizen TV
    761 views

    Wenye maduka ya dawa mjini Garissa wameonywa kukoma kuwauzia wakazi baadhi ya dawa zinazohitaji barua kutoka kwa daktari la sivyo hatua kali ya sheria zitachukuliwa dhidi yao.