Kindiki asema serikali haitatenga eneo la mlima Kenya

  • | Citizen TV
    847 views

    Serikali haitatenga eneo la mlima kenya kimaendeleo. Ndio kauli ya naibu rais profesa kithure kindiki ambaye ameahidi eneo hilo kukamilishwa na kuzinduliwa kwa miradi mingi ya maendeleo.