- 221 viewsWafanyakazi wa zima moto wameendelea kupambana na moto mkubwa kote kaskazini mashariki mwa Japan katika mji wa mwambao wa Ofunato Ijumaa (Februari 28). Kanda za video zilizochukuliwa kutoka angani zilionyesha moshi ukipaa angani kutoka upande wa eneo la msitu mlimani na mabaki ya majengo yaliyoteketea kwa moto. Moto huo unakadiriwa umeunguza kiasi cha hekta 1,200 (eka2,965), shirika la utangazaji la Japan NHK limeripoti Ijumaa, likiwanukuu maafisa wa eneo. Mtu mmoja amefariki. Zaidi ya kaya 1,300 katika eneo wamehamishwa ikiwa nimatokeo ya moto huo, vyombo vya habari vya eneo vimeripoti,huku watu zaidi ya 3,000 wakitafuta hifadhi katika maeneoyaliyotengwa kuwapokea. - Reuters #ofunato #japan #moto #wazimamoto #mlimani #japannhk #vifo #voa #voaswahili #motowamsituni
Moto wa msituni wateketeza nyumba, maelfu ya watu watafutiwa hifadhi
- - Duniani Leo ››
- 2 Apr 2025 - Health officials and police have scrambled to explain the mix-up, which has appalled political leaders and stoked outrage across the country.
- 2 Apr 2025 - South Sudanese government denies Odinga's claims that First Vice President Riek Machar's wife was also under house arrest.
- 2 Apr 2025 - A private developer obtained the land’s title deed in February.
- 2 Apr 2025 - Kenya-Sudan trade row deepens as Khartoum denies tea exports
- 2 Apr 2025 - South Sudan is on the verge of war. Uganda stepped in to help by deploying its troops in Juba on realising that escalating conflict could destabilise the world’s youngest nation. The United Nations Mission in South Sudan has warned that the country…
- 2 Apr 2025 - A women-only outfit can thrive if it balances legal requirements with advocacy for women’s rights.
- 2 Apr 2025 - Tuju once said that then-DP William Ruto was paid billions of shillings for being Uhuru Kenyatta's running mate in 2013.
- 2 Apr 2025 - Seven family members perished in a crash at High Peak, near Naivasha town.
- 2 Apr 2025 - Scammed and trapped in Myanmar's dirty digital camps, the daring escape
- 2 Apr 2025 - State edges KPC out of cooking gas plant deal for Nigerian firm