Leo katika dira ya dunia TV

  • | BBC Swahili
    4,517 views
    Rais wa Marekani Donald Trump anakutana na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky. - Je, mazungumzo yao yatafanikisha kumaliza vita kati ya Ukraine na Urusi? Hayo na mengine mengi katika Dira ya Dunia TV na @RoncliffeOdit kupitia ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw