Je, Trump atafanikiwa kumalizi vita vya Urusi na Ukraine?

  • | BBC Swahili
    1,735 views
    Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Ukraine Volodymr Zelenzky hivi sasa wanafanya mkutano katika Ikulu ya White House ambako wanajadiliana kuhusu njia za kumaliza vita kati ya Ukraine na Urusi. Trump amemuambia Zelenzky awe na shukrani, na anamshtumu kwa kuleta hatari ya vita vya tatu vya dunia.