Zelensky atimuliwa ikulu ya Marekani

  • | BBC Swahili
    2,139 views
    ‘’Ulitaka kusababisha vita vya tatu vya Dunia’’ Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky walibadilishana maneno wakati wa mkutano wao uliojaa jazba baina ya viongozi hao katika Ikulu ya White House siku ya Ijumaa. - Trump alimwambia mwenzake wa Ukraine kuwa "awe na shukrani" na akamshutumu kwa "kutaka kusababisha vita vya tatu vya Dunia". - Hata hivyo. Mkutano huo uliishia kati huku Zelensky akiondoka na Trump akimwambia arudi akiwa tayari kujadiliana kuhusu amani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw