Je huu ndio mwisho wa mpango wa amani wa Ukraine?

  • | BBC Swahili
    1,142 views
    Hapo jana mkutano kati ya rais wa Marekani Donald Trump na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky uliishia katikati mara baada ya pande hizo mbili kutokukubaliana na kurushiana maneno. Lakini swali linabaki kuwa ni nini hatma ya Ukraine na mpango wa amani? Mwandishi wa BBC Sammy Awami anaeleza zaidi. - - #bbcswahili #Trump #Zelensky #marekani #ukraine Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw