Kaunti ya Nairobi kupitia kikundi cha Green Army chafanya zoezi la usafi nje ya Stima Plaza

  • | K24 Video
    95 views

    Kaunti ya Nairobi kupitia kikundi cha Green Army leo kimefanya zoezi la usafi nje ya Stima Plaza na maeneo mengine kama ilivyoagizwa na wizara ya afya. tarehe 24, mwezi februari, wafanyikazi wa kaunti ya Nairobi walitupa taka katika eneo la Stima Plaza baada ya kenya power kukata umeme kwenye jengo la city hall kutokana na deni la shilingi bilioni 3 ambalo halijalipwa. hata hivyo, serikali ya kaunti ya Nairobi na wizara ya kawi sasa wamekubali kushirikiana kutatua tatizo hilo.