Ongezeko la wizi wa vifaa na uharibifu wa miradi ya maji Makueni

  • | K24 Video
    59 views

    Serikali ya kaunti ya Makueni imepoteza shilingi milioni 45 chini ya mwaka mmoja kufuatia ongezeko la wizi wa vifaa na uharibifu wa miradi ya maji. wanaohusika na uharibifu huu uiba vifaa kama mifereji ya maji, paneli za jua, tangi za maji, jenereta na vifaa vingine vya miradi ya maji ambavyo vinakisiwa kuuziwa wafanyi bihashara wa vyuma kuu kuu katika kaunti hiyo.