Raila: Serikali ikomeshe ufisadi na utekaji nyara

  • | K24 Video
    234 views

    Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga ameikosoa serikali kwa kushindwa kukabiliana na ufisadi kukomesha visa vya utekeji nyara huku akitaka serikali kuzilipa fidia familia zilizopoteza wapedwa wao wakati wa maandamano ya Gen-Z sawia na wakati wa uchaguzi mkuu uliopita wa mwaka 2022 nchini akizungumza huko Mombasa Raila ametishia kuendelea kuiwekea masharti serikali na raisi william ruto ikiwemo kuwajibikia serikali za ugatuzi, kukabiliana na ubaguzi katika maswala ya ajira huku akishinikiza mageuzi katika bima mpya ya matibabu nchini sha na katika mfumo wa elimu ya vyuo vikuu nchini.