Ramadhani: Wanaovaa 'nusu uchi' wanatukwaza

  • | BBC Swahili
    1,719 views
    Waumini wa dini ya Kiislam Afrika Mashariki wameungana na wenzao duniani kote kuanza kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. - Visiwani Zanzibar, wakaazi wengi ni waumini wa dini ya Kiislami, sasa wakati miongozo ya kidini juu ya mwezi huu mtukufu imedumu kwa karne na karne, viongozi wa dini na hata waumini pia wanasema baadhi ya tamaduni zinabadilika. - Sheikh Mohammed Ally Abdallah ameiambia BBC kwanini baadhi ya tamaduni hizi zinabadilika. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw