Watu wanne wafariki katika mikasa miwili ya moto Limuru na Kabete

  • | K24 Video
    53 views

    Watu wanne wamepoteza maisha katika maeneo bunge ya Limuru na Kabete kufuatia mikasa miwili ya moto. Katika kijiji cha Kahuho ,kabete familia moja imewapoteza wana watatu na katika kijiji cha Ngecha Limuru mwanamume wa miaka 93 aliteketea kiasi cha kutotambulika baada ya nyumba yake kushika moto. .