Maandamano katika kambi ya Kakuma Turkana

  • | K24 Video
    280 views

    Wakimbizi wanne wanauguza majeraha ya kupigwa risasi wakishiriki maandamano katika kambi ya Kakuma iliyoko turkana. Maandamano hayo yalikuwa ni ya kulalamikia kupungua kwa misaada ya kibinadamu, changamoto ambayo imechangiwa na hatua ya hivi majuzi ya taifa la marekani ya kusitisha msaada wake. Wakimbizi wanahofia kuangamia kwasababu ya upungufu mkubwa wa chakula na maji.