Mastaa waungana katika tafrija Hollywood

  • | VOA Swahili
    31 views
    Wateuliwa wa tuzo ya Oscar Cynthia Erivo na Isabella Rossellini waliungana na mastaa mbalimbali wa Hollywood katika tafrija ya Vanity Fair Oscars siku ya Jumapili jioni Machi 2). Mteule mwenza Guy Pearce, akishindania nafasi ya muigizaji msaidizi bora kwa filamu ya “The Brutalist”, akipigwa picha na nyota mwenza Joe Alwyn. Filamu ilionyeshwa katika kitengo cha picha “Anora.” Filamu hiyo ilishinda tuzo maarufu usiku huo, pamoja na tuzo nyingine nne za Oscar kwa muongozaji bora, muigizaji bora wa kike, filamu bora na uhariri bora. #mastaa #vanityfairoscars #oscar #mshindi #zoesaldana #zuliajekundu #cynthiaerivo #isabellarossellini