Wakaazi waagizwa kusalimisha bunduki haramu Mt. Elgon.

  • | Citizen TV
    277 views

    Kitengo cha usalama katika Kaunti ya Bungoma kimewaagiza wakazi wa Mlima Elgon kurejesha Bunduki haramu wanazomiliki huku Mbunge Fred Kapondi akitaka uchunguzi wa kina kufanyika kuhusu kundi haramu ambalo limebuniwa eneo hilo