Kenya Police kuchuana na AFC Leopards leo saa kumi Kenyatta Stadium katika ligi kuu ya soka nchini

  • | TV 47
    7 views

    Mechi moja imeratibiwa kuchezwa leo kwenye ligi kuu.

    Kenya Police kuchuana na AFC Leopards leo saa kumi.

    Mechi kuchezwa ugani Kenyatta Stadium.

    Iwapo police itashinda, itasalia kileleni na alama 44.

    Iwapo AFC Leopards watashinda, watapanda hadi nafasi ya 3 na alama 37.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __