Akofu mkuu Muheria awataka wakenya pamoja na viongozi kubadilisha mtazamo wao dhidi ya Kenya

  • | K24 Video
    546 views

    Askofu mkuu wa kanisa katoliki diosisi ya Nyeri Anthony Muheria amewataka wakenya pamoja na viongozi kubadilisha mtazamo wao dhidi ya Kenya na kila mmoja kuchukua jukumu la kulibadilisha taifa licha ya kunyoosheana kidole. Akizungumza katika misa maalum ya jumatano ya majivu katika kanisa la Our Lady of Consolata mjini Nyeri Muheria aidha, amewataka wakenya kuwa na matumaini na kuliombea taif