Ubunifu unaobadili uhalisia

  • | BBC Swahili
    69 views
    Je, uko kubadilisha mtazamao wako wa kawaida? Jiunge nasi katika safari ya kipekee hadi makavazi ya kisasa ujionee uhalisi uliobadilishwa kwa njia ya ubunifu jijini Nairobi, Kenya. Makavazi haya mapya na ya kipee duniani, yanaangazia masuala mbalimbali kutoka kwa watengenezaji maudhui. - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw