kukabiliana na saratani

  • | KBC Video
    4 views

    Saratani ya titi na mlango wa uzazi inaoongoza kwa asilimia-29.3 ya visa vipya vya ugonjwa wa saratani humu nchini. Na katika kushughulikia visa vinavyoongezeka vya saratani, wizara ya afya imeanzisha mpango wa kuimarisha uchunguzi wa kubaini mapema ugonjwa huo na kutoa matibabu katika wakati mwafaka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive