Mwanamke shadidi

  • | KBC Video
    12 views

    Mwanamke mmoja kutoka jamii ndogo aliyepanda ngazi kuwa afisa tawala kaunti ya kilifi baada ya ndoa yake kutumbukia nyongo anasimulia jinsi alivyostahimili changamoto zilizomwandama kuwa naibu chifu wa kwanza mwanamke wa kata ndogo ya Fundisa. Emily Esendi aliyeacha shule akiwa mdogo kutokana na uchochole na kisha kuozwa amegeuza maisha yake na kuwa mwenye manufaa makubwa kwa jamii. Emily pia ni mwana-harakati dhidi ya dhuluma za kijinsia na huendeleza kampeni za uhamasisho miongoni mwa mama wachanga. Emily anahadithia juhudi zake huku ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha siku ya wanawqake duniani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive