Siku ya Wanawake Duniani: Changamoto zao ni zipi?

  • | BBC Swahili
    331 views
    Siku ya Wanawake duniani inapoadhimishwa tarehe nane mwezi Machi, swali kubwa ni je, bado ni changamoto zipi wanazokabili wanawake barani Afrika? Agnes Penda anajadili hilo kwa kina. #bbcswahili #bbcswahilileo #sikuyawanawake #wanawake