Mkataba wa Rais Ruto na Raila

  • | K24 Video
    254 views

    Rais William Ruto na kinara wa ODM, Raila Odinga wametia saini mkataba wa maelewano unaolenga kushughulikia changamoto kuu za kijamii, kiuchumi, na kisiasa nchini Kenya. Katika maelewano hayo, viongozi hao wameipa kipaumbele utekelezaji wa ripoti ya NADCO huku Raila akisema kuwa baadhi ya mapendekezo yake ni kuhakikisha mgao wa pesa za kaunti unaongezeka hadi shilingi bilioni 450.