Vifuvu vya Manufaa: Vijana wa Kwale watumia vifuvu vya madafu kutengeza makaa

  • | Citizen TV
    1,068 views

    Wenyeji na watalii hukata kiu Kwa kunywa Maji ya Madafu katika maeneo ya Pwani ya Kenya. Lakini, Baada ya kujiburudisha Na kinywaji hicho, mabaki ya vifuvu vya madafu hayo huishia kutupwa na kuharibu baharini na mazingira. Sasa kundi moja la vijana kaunti ya Kwale limevumbua utumizi wa vifuvu hivyo kwa kuotesha miche ya miti, kutengeza makaa na kuyatumia kama mbolea. Lawrence Ng'ang'a anaarifu