Mwakilishi wadi ya Della, Wajir aliyetoweka miezi 6 iliyopita apatikana

  • | KBC Video
    60 views

    Mwakilishi wadi ya Della, Yussuf Hussein Ahmed aliyedaiwa kutoweka miezi 6 iliyopita, anapokea matibabu katika hospitali ya Nairobi ambako alipelekwa baada ya kurejeshwa kwa familia yake. Yussuf aliwekwa nje ya nyumba yake mtaa wa Pangani jijini Nairobi jana usiku.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive