Gachagaua akashifu hatua ya Rais Ruto kufanya kazi na mrengo wa upinzani

  • | K24 Video
    127 views

    Naibu rais wa zamani Rigathi Gachagaua amekashifu hatua ya rais William Ruto kufanya kazi na mrengo wa upinzani, akidai kuwa ni njia mojawepo ya kuwakandamiza wakenya. akizungumza kwenye ibada ya kanisa kaunti ya Kajiado, Gachagua amemtaja rais ruto kama msalaiti huku akidokeza kuwa tayari Rais Ruto ameliuza ukumbi wa bomas kwa raia wa kigeni.