Waandamanji wapinga sadaka ya Rais Ruto

  • | K24 Video
    1,986 views

    Shughuli katika barabara ya Thika road sehemu ya Roysambu zilisitishwa kwa saa kadhaa polisi wakikabiliana na waandamanaji wa kundi la Gen-Z. Vijana hao wanapinga hatua ya mhubiri edward mwai kuchukua shilingi milioni ishirini alizoahidi Rais William Ruto. Polisi walizamika kutumia vitoa machozi kubaliana na vijana waliotishia kuvamia kanisa hilo na kusitisha ibada. Polisi waliwakamata vijana 38 waliodaiwa kuhusika na maandamano hayo huku mhubiri mwai akidai kuna njama ya kumharabia jina.