Rais Ruto asema kuwa hatasitisha michango yake makanisani

  • | K24 Video
    490 views

    Rais William Ruto ameshikilia kuwa hatasitisha michango yake makanisani licha ya kukashifiwa na wakenya. Akiongea katika ibada ya kanisa la AIC mjini Eldoret, Rais alitoa mchango wa sh20 milioni wiki moja tu baada ya kutoa mchango mwingine wa shilingi milioni 20 katika kanisa la Jesus Winner ministry