Mahakama mjini Kitale yafutilia mbali hati 140

  • | Citizen TV
    100 views

    Mahakama mjini Kitale imefutilia mbali hati miliki 140 za shamba katika eneo la Kwa Muthoni, viungani mwa mji wa Kitale, zilizokuwa zikimilikiwa na mfanyabiashara mmoja