Wakosoa ushirikiano wa punde wa Rais Ruto na Raila

  • | Citizen TV
    735 views

    Wandani wa kisiasa wa aliyekuwa Naibu wa Rais Righathi Gachagua wanaendelea kukashifu serikali kwa kutumia siasa kuwafurusha kutoka kwenye kwenye kamati mbali mbali za bunge