Wakulima 124 wananufaika na mafunzo ya kilimo

  • | Citizen TV
    96 views

    Wakulima 124 kutoka kaunti ya Kwale wamefuzu baada ya kupokea mafunzo ya kilimo cha utafiti wa kuimarisha kilimo biashara