Kilio cha haki : Jamaa Kitui walilia mwenzao aliyeuawa

  • | KBC Video
    28 views

    Familia moja katika kijiji cha Kwamutonga kaunti ya Kitui inalilia haki kufuatia kifo cha jamaa wao anayedaiwa kuuawa na wafugaji ngamia kwenye mpaka kati ya kaunti za Kitui na Tana River. Pius Ndaka wa umri wa miaka-50 anadaiwa kuuawa alipokuwa akichunga mifugo mwaka-2023 na sehemu ya mwili kuliwa na wanyama wa mwituni. Viongozi pamoja na wakazi wa eneo hilo wamehimiza serikali kuimarisha usalama kwenye mpaka kati ya kaunti za Kitui na Tana river ili kuepusha visa kama hivyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive