Wakazi waandamana kulalamikia unyakuzi wa ardhi

  • | Citizen TV
    100 views

    Wakaazi wa kijiji cha Katsangani wadi ya Sabaki eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wanalalamikia kuhangaishwa na bwenyenye mmoja anayedai kumiliki kipande cha ardhi wanakoishi