Seneta wa Busia kukusanya maoni kuhusu azma yake

  • | Citizen TV
    239 views

    Miezi minne baada ya Senata wa Busia Okiya Omtata kutangaza azima yake ya kuwania nafasi ya urais katika uchunguzi wa mwaka wa 2027 na kuunda Jopo kazi ya kuzuru kaunti zote ili kupata maoni iwapo wakenya wangetaka awanie urais au la, na yale mambo ambayo wakenya wangetaka yatekelezwe iwapo ataingia afisini