Gavana Natembeya akosoa mkataba kati ya ODM na UDA

  • | Citizen TV
    2,626 views

    Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya, amepuuza mkataba wa makubaliano kati ya Rais William Ruto na Kiongozi wa ODM, Raila Odinga, akisema hauna umuhimu wowote kwa wananchi