Uganda yatuma wanajeshi Sudan Kusini, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    11,685 views
    Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kwamba kikosi maalum cha jeshi la taifa hilo kimetumwa katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, ili kumsaidia Rais Salva Kiir ‘kulinda mji huo.’ Haya yanajiri kutokana na mvutano kati ya Salva Kiir na makamu wake wa kwanza Riek Machar, hali inayozua hofu kwamba huenda taifa hilo likarejea katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.