Zaidi ya familia 100 zimeachwa bila makao Ndabini

  • | Citizen TV
    1,765 views

    Zaidi ya familia 100 zimeachwa bila makao huku mali ya thamani isiyojulikana ikiharibiwa kufuatia mzozo wa ardhi katika eneo la Ndabibi huko Naivasha