Wakazi wa eneo la Tarbaj wanafaidika na barabara

  • | Citizen TV
    799 views

    Wakazi wa eneo la Tarbaj , Kaunti ya Wajir wana matumaini ya maisha yao kuimarika kufuatia ujenzi wa Barabara ya Horn of Africa Gateway na uchimbaji wa visima vya maji safi na salama