Wadau wataka serikali iwasilishe fedha kwa wakati

  • | Citizen TV
    49 views

    Tukisalia kwenye masuala ya elimu, Wadau wa sekta ya elimu katika kaunti ya Garissa wameelezea changamoto katika utekelezaji wa mtaala wa CBC