Ukraine yakubali kusitisha vita, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    14,747 views
    Baada ya saa kadhaa za mazungumzo nchini Saudi Arabia kati ya Ukraine na Marekani, Washington inasema sasa uamuzi uko upande wa Moscow, baada ya Ukraine kusema iko tayari kusitisha mapigano na Urusi kwa siku 30. Maafisa wa Ukraine wanasema msaada wa kijeshi na ushirikiano wa kijasusi kutoka Marekani umeanza kutolewa tena tangu kukubaliana na pendekezo hilo. Rais Trump amesema kwa sasa juhudi zitahamia katika mazungumzo na Urusi.