Peter Karoki aliaga shirika la KBC baada ya kuhudumu miaka 37

  • | KBC Video
    31 views

    Wanahabari wamehimizwa kuzingatia ubora na kujumuisha ubunifu ikiwa wanataka kukidhi maslahi yanayobadilika ya watazamaji wao. Huu ulikuwa ni wito wa aliyekuwa kaimu meneja msaidizi wa vipindi katika shirika la utangazaji la humu nchini, KBC, Peter Karoki alipokuwa akiwaaga wenzake baada ya miaka 37 ya kutayarisha vipindi katika shirika hili. Karoki alisema kuwa televisheni sio tu kuhusu skrini na ukadiriaji lakini ni kuhusu huduma kwa watu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive