Tume ya NCIC yaendelea na mikakati ya amani katika mpaka wa Kisii na Trans Mara

  • | Citizen TV
    119 views

    Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa leo inaendelea na mikakati ya amani katika mpaka wa Kisii na Trans mara. Vikao vya leo vinajumuisha hata makundi ya vijana kuzuia machafuko yaliyoshuhudiwa eneo hilo na kusababisha vifo na kujeruhiwa kwa watu kadhaa pamoja na uharibifu wa mali. Mwanahabari wetu Chrispine Otieno anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi kutoka Kilgoris